Featured

    Featured Posts

Loading...

MHE. PINDA AMSHUKURU LOWASSA KWA UJENZI WA SHULE ZA KATA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amemshukuru aliyekuwa mtangulizi wake, Waziri Mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa kwa ujenzi wa shule za kata Nchi nzima kwa kipindi chake cha miaka miwili tu aliyokaa madarakani.

Waziri Mkuu huyo Mizengo Pinda kasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya CCM, Dodoma alipokuwa akitangaza nia ya kugombea urais kupitia chama hicho.


"Napenda kumshukuru mtangulizi wangu Edward kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi nzima, haya yote ni mafanikio ya awamu hii ya nne" amesema Pinda.

Waziri Mkuu huyo amesema hayo alipokuwa akijibu swali la Mwandishi wa habari alipomuliza; watanzania watarajie nini kipya kutoka kwake kama Waziri Mkuu aliyekaa madarakani zaidi ya miaka8.

Ndipo Pinda alipoanza kutoa historia ya mafanikio ya awamu hii ya nne huku akimwaga sifa kedekede kwa mtangulizi wake Lowassa kwa ujenzi wa shule za kata nchi nzima.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top