Featured

    Featured Posts

Loading...

WASHINDI WA TUZO ZA FILAM MWAKA 2015

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Ijumaa ilikuwa siku ya fainali ya Tuzo za Watu kwa mwaka 2015, majina ya washindi yakaingia kwenye headlines mitandaoni na kwenye vyombo vya habari jana.. Jana hiyohiyo kingine kikubwa kwenye historia ya Filamu Tanzania nacho kikaingia kwenye headlines, ilikuwa usiku wa Tuzo za Filamu Tanzania 2015 kwa mara ya kwanza.

Shughuli yote ilikuwa pale Mwalimu Nyerere International Conference Center Dar es Salaam, na hapa naanza na list ya washindi waliopatikana:-

                 Habari kamili bofya hapa

Be actress in leading role- Irene Paul 
Best comedian- King Majuto 
Best supporting actress- Grace Mapunda
Best supporting actor (Male) – Tino Hisani Muya 

Best screenplay- Irene Sanga 
Tribute Award (Film Industry Support) – President Jakaya Kikwete 

Tribute Personality Award- Steven Kanumba 
Tribute Media- Zamaradi Mketema (Takeone Clouds TV) 

Life Time Achievement Award- Mzee Jangala 
Best Director- John Kalaghe.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top