Featured

    Featured Posts

Loading...

MWIGULU NCHEMBA ATANGAZANIA YA KUGOMBEA URAIS

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

MWIGULU NCHEMBA ATANGAZANIA YA KUGOMBEA URAIS

May 22 Mwaka2015 kulikuwa na Headlines kubwa kuhusu ishu ya makada sita wa CCM kufunguliwa na Chama hicho baada ya kufungiwa kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana na ishu ya kuanza kampeni  za Urais mapema.
Leo kuna stori mpya kwenye siasa Tanzania  Mwigulu Nchemba ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara katangaza kujivua cheo hicho na kuanza rasmi mchakato wa kugombea nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais TZ kwa tiketi ya CCM.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top