Featured

    Featured Posts

Loading...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NCHINI TANZANIA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

         Jamhuri ya muungano wa Tanzania
                 Tume ya taifa ya uchaguzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuviarifu vyama vyote vya siasa nchini pamoja na wananchi wote kwa ujumla kuwa kwa mamlaka iliyopewa kwa mujibu wa vifungu vya 35B(1), (3) (a), 37 (1) (a) na 46 (1) vya sheria ya taifa ya uchaguzi sura ya 343 ratiba ya uchaguzi mkuu itakuwa kama ifuatavyo:

Uteuzi wa wagombea uraisi, ubunge na madiwani itakuwa tarehe 21 August 2015

Kampeini za uchaguzi ni kuanzia tarehe 22 August mpaka tarehe 24 October 2015.

Siku ya kupiga kura ni tarehe 25 October 2015

Imetolewa leo tarehe 23 Mei 2015
Jaji wa rufaa (Mst) Damian Z. Lubuva
MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top