Featured

    Featured Posts

Loading...

KITUO CHA POLICE KENYA CHASHINDA TUZO YA USAFI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Kituo cha Voi kimeibuka mshindi bora kwa kupata tuzo ya usafi kati ya vituo vyote vilivyoko nchini humo.

Kamanda Richard Bitonga ambaye ni mkuu wa kaunti, Taita Taveta amesema wamekuwa wakitaidi sana kuimalisha usafi kwenye maeneo ya kituo chao cha kazi kwa mwaka mmoja uliopita.

Jambo la kushangaza kwenye kituo hicho ni pale tulipoona wahalifu wakiwa wameketi huku wakisoma gazeti huku vyoo vyao vikiwa katika hali ya usafi wa hali yajuu sana na vinavutia.

Kiujumla muonekano pamoja na mpangilio wa kituoni hapo ukovizuri sana maana mpaka kuna viti vya watu kuketi waliokuja kuwaona ndugu zao kituoni hapo walioletwa kama wahalifu pamoja na mpangilio mzuri wa files.
Joshua Lukayi ambaye ni Mkuu wa police Voi yeye anasisitiza sana juu ya usafi kwenye maeneo yate ya police stations maana bila ya usafi wahalifu watakuwa katika hali mbaya amabayo inaweza kuwasababishia magonjwa pamoja na wao kama police wanao hudumia maali hapo. 
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top