Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KERO MPYA YAJITOKEZA KWA ABILIA WA MBAGALA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Na Happyness L. Michael, ikiwa leo ni siku ya ijumaa ya tarehe 22/5/2015 maudhi mapya yamejitokeza kwa abilia waishio maeneo ya Mbagala rangi tatu,  mtoni mtongani, kwa Azizi Ally, Mission, Kipati, zakhiem, kizuiani nk.

Kero yenyewe inamuhusu kondakta na dreva wa gari lenye usajiri wa namba T447 CTL linalotoa huduma kati ya mbagala to posta via Kilwa road, ambapo inadaiwa kondakta wa gari hilo amejijengea tabia ya kutorudisha nauri kwa baadhi ya abilia huku dreva akiwa kimya.

Pia abilia hao waishio mbagala wamesema gari hilo linautaratibu wake tofauti na magari yote yanayotoa huduma ya kusafirisha abilia kutoka mbagala rangi tatu to Posta, maana magari mengine hutoza bei ya Tsh450 hadi 700, wakati gari tajwa hapo juu hutoza bei ya Tsh 450 hadi 800 pindi uzungukapo na gari hilo

Leo katika tukio lililowafanya abilia mpaka wakaamua kupaza sauti zao nipale ambapo moja ya abilia alipotaka kushuka katika kituo cha bandari ya kwanza huku akidai Tsh 100 kama change yake, ndipo kondakta alianza kusema hana change na kumpeleka mwanadada huyo mpaka kituo cha bandari yapili, tukio hili limetokea leo mda wa asubuhi.

Kiukweli vitendokama hivi vinaumiza sana maana mtu anapokuwa ameshapiga hesabu zake kisha anakuja kuvurugiwa inamuweka katika wakati mgumu muhusika, kwaiyo kama mmiriki wa gari tajwa hapo juu umepata habari hii 

Tafadhali tunakuomba ufanye mabadiriko kwenye gari lako maana bila ya kufanya hivyo kuna mawili, 1.waweza kulipoteza gari lako au 2.kusabisha vifo visivyotarajiwa kati ya abilia na kondakta/dreva kutokana na ugonvi.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top