Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MWANAMKE MMOJA WA MAREKANI AFUNGA NDOA NA PAKA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Dunia haishi maajabu na maajabu yamekuwa yakitokea siku hadi siku na yanatokea karibu kila mahali. MWANAMKE mmoja huko nchini Marekani aitwaye Barbarella Buchner ametoa kali ya mwaka 2015 baada ya kufunga ndoa na paka wake wawili. Mwanamke huyo alipokuwa anatoa ufafanuzi juu ya tukio hilo amesema kuwa hakuwahi kuwa na wazo la kuolewa na mpenzi yoyote yule wa kiume kati ya wapenzi alio nao na hajawahi kuwa na wazo kwamba atakuja kuwa mke wa mtu au kiumbe yoyote yule.
Barbarella Buchner akiwa na paka wake wawili aliofunga nao ndoa hivi karibuni. Barbarella mwenye umri wa miaka 48 ambaye kazi yake ni ubunifu wa tovuti kwenye mtandao wa internet ameongeza kuwa ana furaha kubwa baada ya kuolewa na paka wake wawili ambao ameolewa nao. Mwanamke huyo alinukuliwa akisema kuwa “Kuna baadhi ya wanawake wamepangiwa kufanya usafi kwa ajili ya waume zao na wameridhia kufanya hivyo , kwangu ni tofauti“– Barbarella.

Barbarella Buchner akiwa na mmoja kati ya waume wake ambao ni paka. Ameongeza kuwa haoni shida kuwatumikia paka wake ambao wana majina ya Lugosi na Spider na siku zote atahakikisha wanaishi kwa furaha kama ndoa inavyohitaji.

Mwanamke huyu hakuweza kufananua kama moja ya misingi muhimu ya ndoa ‘unyumba’ itahusika kwenye ndoa yake hiyo na paka wake wawili.


Cheti cha ndoa ya Barbarella Buchner na pake wake Spider na Lugosi kinachodhirisha uhalali wa ndoa yao.


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top