Featured

    Featured Posts

Loading...

MHE.FREEMAN MBOWE ALIWEKA JIMBO LAKE LA HAI REHANI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa yameleta picha tofauti ambapo CCM imezoa vijiji na vitongoji vyake kitu ambacho kinaashiria kifo kwa chadema na yeye kukosa ubunge tena.


Haya ndiyo matokeo katika jimbo la mbowe katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014. CCM imeshinda vijiji 42 CHADEMA 19, Vtongoji CCM imeshinda viti 191 CHADEMA 99 na CUF viti 11 kwa mtaji huu kuna asilimia 100 Mbowe kusombwa na maji.

HEBU TULIJADILI JAMBO HILI KWA BUSARA NA HEKIMA KWA PAMOJA.
Hizi ni TAKWIMU halali za matokea sahihi. Tujaribu kupambana kwa hoja na sio matusi ili kila mtu ajifunze kupitia hapa. HOJA KWA HOJA MATUSI NI UJINGA MPEVU. Binafsi namkubali sana Mhe Mbowe sifiki KIMBUSHI (HAI) bila kupita kwanza kwao ni mwenzangu.


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top