Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KAULI YA SERIKALI JUU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Kufuatia dosari nyingi zilizojitokeza katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika maeneo mengi nchini Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia amesema wote waliohusika kuvuruga uchaguzi huo kwa watawajibishwa hata kama ikiwa ni yeye au ofisi yake.

“Tumesema tutafanya uchunguzi na ikibainika kwamba kuna mtu amekosea kwa nafasi yake kule kwenye Halmashauri tutawachukulia hatua, je ikibainika ni mimi ambae nimevuruga niko tayari kuwajibika, kama itabainika kuna Halmashauri haikufanya vizuri kwa sababu mimi ndio nimewafanya wasifanye vizuri nitawajibika, lakini kama ni wao wenyewe tumewapa maelekezo yote ya kufanya na wao wamevuruga wao tutawawajibisha. ”Wakati huo huo amesema kuwa katika miaka ijayo uchaguzi huo utakuwa chini ya usimamizi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, huku akiongeza kuwa uchaguzi huo umekuwa na changamoto mbalimbali. 


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    
In order you follow me just click one of the Icon Button above. 
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top