Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WABUNGE KUJENGEWA KIJIJI KWA AJIRI YA USALAMA JUU YAO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Katika kipindi cha maswali na majibu leo Novemba 24, Mbunge Rajabu Mbarouk Mohammed aliuliza swali; “..Suala la usalama wa Wabunge ni pamoja na maeneo wanayofanyia kazi lakini vile vile na maeneo ambayo wanayoishi wabunge, Mheshimiwa Spika tangu kuanza kwa sakata la ESCROW hali imekuwa tete kwa Usalama wa Wabunge, nini tamko la Serikali juu ya ulinzi na usalama wa Wabunge katika maeneo ya kazi lakini vile vile katika maeneo wanayoishi?..

Akijibu swali hilo Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Januari Makambaalijibu;”…Serikali inafanya tathimini wakati wote ya matishio ya usalama wa Nchi lakini usalama wa viongozi ikiwemo Wabunge na inachukua hatua muafaka kuhakikisha kuwa viongozi wao wako salama, kwa hiyo Serikali inapenda kuwahakikishia Wabunge kwamba licha ya yote yanayoendelea usalama wao uko salama na wasiwe na wasiwasi watimize majukumu yao kama inavyohitajika…
Naye Spika wa Bunge Anne Makinda alisema kuhusu mpango ambao Serikali inao kuhusu usalama wa Makazi ya Wabunge; “…Tunakusudia kujenga eneo la Vijiji vya Wabunge ambapo wanaweza kulindwa kwa pamoja kuliko ilivyo sasa kila kitu ni mipango. Wasikilize hapa =>


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top