Katika ripoti ya CAG imedaiwa kuvujishwa kwa kunyofolewa baadhi ya kurasa, ripoti nzima ya hawali ipo kwaiyo viongozi wamesema kunyofolewa kwa izo kurasa hakuto athili ukaguzi wa ripoti hiyo ila wameendelea kusema ripoti nzima ipo na itawekwa mezani endapo michezo inayochezwa itaendelea.
Nimesikitishwa na taarifa za kuanza kunyofolewa kwa kurasa za ripoti hii, bahati nzuri kuna watu wanayo original copy na imeisha sambaa sana hivyo ni vyema wahusika wakaacha wabunge waifanye kazi yao kwa kadri inavyostahili. Naizi chini ni baadhi ya kurasa zinazo daiwa kunyofolewa katika ripoti hiyo ya CAG.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.