Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MATOKEO YA LEO KATI YA CRYSTAL PALACE VS LIVERPOOL

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Katika mechi iliyopigwa leo, ambapo ilikuwa ni kati ya    CRYSTAL PALACE na  LIVERPOOL . Matokeo ilikuwa nikama ifuatavyo, timu ya Crystal Palace waliweza kujishindia magoli 3 wakati Liverpool wakijishindia goli moja tu kwa kupitia mshambuliaji wao Rickie Lambert ikiwa ni dakika ya pili kwenye kipindi cha kwanza.

dakika ya 17 timu ya Crystal Palace walisawazisha kupitia mchezaji wao Dwight Gayle, kipindi cha pili Crystal Palace wakapata goli la pili kupitia Joseph Ledley ikiwa ni dakika ya 78, na baada ya mda mchache Crystal Palace wakapata goli la ushindi kwa mpila wa adhabu uliopigwa na Mile Jedinak ikiwa ni dakika ya 81 na mpaka mpira kuisha matokeo hayakuweza kubadirika. 


-------------------------------------- UPDATES ---------------------------------------

Mpira umeisha na matokeo ni 2-1, ambapo Team ya ARSENAL imeibuka kwa na ushindi wa goli 1 na team ya Manchester United wameibuka na ushindi wa goli 2.

Goli la kwanza ni lakujifunga wenyewe, ambapo team ya arsenal wamejifunga wao kupitia kwa beki wao anayefahamika kama Keirran Gibbs ikiwa ni dakika ya 56, na goli la pili limefungwa na mshambuliaji wa Man United Wayne Rooney ikiwa ni dakika ya 85.

Ilipofika dakika ya 90 team ya Arsenal waliweza kujipatia goli la kufutia machoti kupitia mshambuliaji wake Olivier Giroud, mechi hii ilipigwa katika uwanja wa nyumbani wa Arsenal unaoitwa Emeretes.


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    

In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top