Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ALBINO KULWA JOSEPH ANUSURIKA KUUAWA NA MAJAMBAZI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Msichana Kulwa Joseph (21) mwenye ulemavu wa ngozi (albino) mkazi wa kijiji cha usonga kata ya sirambo wilayani kaliua mkoani tabora, amenesurika kuuawa na majambazi watatu, ambapo awali walimteka Balozi wa nyumbakumi na kumpiga ili awapeleke kwa mlemavu huyo naye kwa kubaini nia mbaya akawapeleka nyumba nyingine.

 akizungumza katika kituo cha kulelea yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha huruma kilichoko chini ya kanisa kathoriki, Binti huyo lkulwa Joseph amesema kuwa, watu ambao hawakujulikana walivamia nyumbani kwa jirani na kuanza kuwapiga mjomba wake anayeishi nyumba ya jirani.
Mmkuu wa wilaya ya kaliua Bw Saveli Maketa ambaye alimnusuru kwa kumhamisha porini walipokuwa anaishi amesema kuwa hali ya maisha ya walemavu wa ngozi wilayani humo inaonyesha kuwa hatarishi ambapo amewataka wananchi kuwa na mshikamano ili kuwanusuru na hali hiyo. 
Mratibu wa chama cha wenye uremavu mkoani Tabora Bw, Focus Magwesera amemtaja balozi aliyejeruhiwa na majambazi hayo kwa jina la makoye meli ambapo katika kutaka kumnusuru mlemavu huyo, aliwapeleka majambazi hao kwa nyumba ya jirani, huku mwenyekiti wa walemavu wilaya ya Sirambo akitishiwa kuuawa.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    



In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top