Featured

    Featured Posts

Loading...

WAZEE WALIVYOCHARUKA JUU YA KUPGWA KWA HALIMA MDEE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
akina mama wazee kwa mabinti wakiwa kituo cha police osterbay baada ya jeshi la police kumpiga na kumjeruhi mwenyekiti wa akina mama chadema na mbunge wa kawe halima mdee kisha kumshikilia.


akinamama hawa wamelaani kitendo cha ukatili unaofanywa na jeshi la police wamesema na uonevu na unyanyasaji zidi ya wanawake na pia wamesema wako tayari kwa lolote na hawatoki mpaka wahakikishe mdee anatoka kituoni hapo.

kumbe ndo maana askari wa jeshi la police mkistaafu mnabaki walinzi wezi,najambazi,na wengine mnakufa kwa usongo wa mawazo kwa sababu ya laana ya dhuluma za haki na mali. safari hii lazima chadema tuwajibu mapigo kama noma na iwe noma.
 


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top