Hata siku moja usije ukamlinganisha mama yako mzazi na mtu mwingine hapa duniani, mheshimu sana mama yako, mpende sana mama yako, na mwambie hakuna mtu zaidi yako hapa duniani, pia usisahau kumwambia kuwa unampenda sana.
Sambaza habari hii kwa kwa ndugu jamaa na marafiki zako kama kweli una mpenda sana mama yako mzazi.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.
FACEBOOK >>> TWITTER >>> MATUKIO >> MUSIC MPYA