Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MSANII KUTOKA MAJUU MAARUFU KAMA ( T.I ) ATUA BONGO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Fiesta 2014 ni Sheedah. Sambaza upendo. 
Kwa mara ya kwanza Serengeti Fiesta inakupa urahisi wa kufika eneo la tukio na kusambaza upendo. 

Uhitaji kuuliza ni wapi. Ni pale pale Leaders Club. 

Sasa mpango mzima umekaa hivi: Serengeti Fiesta inakupa usafiri wa BUREEE wa mabasi ya UDA kwako mkazi wa Dar es salaam.

Vituo vya usafiri ni kama hivi: Kariakoo Big Bon, Magomeni Hospitali na Mwenge Puma Petrol Station. Mabasi ya yatakuwepo kuanzia saa 12 Jioni na yatakuwa na mabango ya fiesta. Na usafiri huu utakuwa ni kwenda na kurudi. 

Fiesta 2014 ni Sheedah.
   


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top