Askali wa jiji jana walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu wanaofanya biashara kandokando mwa barabara ‘Machinga’ katika maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wakazi wa eneo hilo, aliyezungumza na GPL, alifafanua chanzo cha askari kutumia nguvu hiyo, ambapo alisema ni baada ya wananchi kuwapiga mawe wakati wakitekeleza zoezi lao. Habari kamili inapatikana hapa sasa.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.
FACEBOOK >>> TWITTER >>> MATUKIO >> MUSIC MPYA