Featured

    Featured Posts

Loading...

JUISI YA NYANYA NI DAWA KUBWA SANA MWILINI MWAKO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Wengi wetu tunaifahamu nyanya kama kiungo kwenye mapishi yetu au hata kachumbari kwenye mlo.

Hata hivyo, watafiti nchini Marekani wamebaini kuwa wanawake wanaokunywa juisi ya nyanya angalau mara moja kwa wiki, wanapunguza kiwango cha kupata maradhi ya saratani ya matiti.

Kwa mfano, wanaeleza kuwa glasi moja ya nyanya kwa siku ina kiwango sahihi na cha kutosha cha madini ya Lycopene, ambazo ni kemikali za mimea zinazoamnika kuondoa kukua kwa saratani.

Madini ya Lycopene ndiyo yanayozipa nyanya rangi yake nyekundu na nyanya hizo zimeundwa zaidi ya vichocheo vyenye uwezo wa kuzuia saratani hiyo.Watafiti katika Chuo Kikuu cha Rutgers nchini Marekani walipima, kiwangon cha vichocheo kwa wanawake 70 wenye miaka 55 na kuendelea ambao walitumia juisi ya nyanya kwa wiki kumi. Wanawake hao ambao wengi walikuwa wanene kupita kiasi na baadhi wenye dalili ya saratani, walipungua uzito na saratani ilikwisha.

Kwa kuwa nyanya ni tunda linalopatikana wakati wowote, tena jikoni kwako, ni vyema wanawake wakajenga mazoea ya kuzitumia kama mlo hata wasipotengeneza juisi.

 


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top