Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

BUS LA SIMBA MTOTO LAGONGANA NA LORI USO KWA USO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Hizi ni habari ambazo zimetufikia hivi punde zikisema ya kwamba bus la kampuni ya simba mtoto limegongana na lori uso kwa uso katika eneo la Wami, taarifa za hawali zimebainisha kuwa dereva wa lori amefariki papo hapo huku abiria wa gari la simba mtoto baadhi yao wakiwa wamejeruhiwa. 

Dreva wa lori aliwa amefariki ndani ya gari lake.

 Endelea kutembelea Mutalemwa Blog na taalifa kamili juu ya tukio hili zikakujia mda si mrefu.
  


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.

    


In order you follow me just click one of the Icon Button above.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top