Featured

    Featured Posts

Loading...

WIMBO MPYA WA POISON FT STAMINA + KENNY-NIPE NAFASI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ni msanii mdogo sana kiumri, anaitwa Immanuel maarufu poison. Hii ngoma yake ya kwanza amemshirikisha stamina na Mkali wa R $ B Morogoro Kenny.
 Anaishi katika mazingira magumu sana kwa kweli, anahitaji sana msaada wa wadau ili aweze kufikia malengo yake. Ukiwa kama mdau tunakuomba kumsaidia katika hili. Wimbo wake unapatikana kwenye link ifuatayo hapo chini.


Sikiliza au waweza kudownload wimbo huu bila wasiwasi wowote ule.

=======================================================


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top