Featured

    Featured Posts

Loading...

UPOTEVU WA BILION 40 KWA KUWALIPA WAFANYAKAZI HEWA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Bilion 40 zinapotea kila mwezi kwa kuwalipa watumishi wa serikali hewa tangu 2009 na idadi ya watumishi hewa ni zaidi ya elfu 10 . pesa hii ukipiga hesabu kwa mwaka utapata sh.bilion 480 ambazo tungesipeleka kwenye secta ya elimu tungepata madarasa yenye viwango 48,000 na compyuta 16,000 katika nchi hii kwa mwaka mmoja. sasa pesa hizo zimelipwa kwa watumishi hewa kwa muda wa miaka mitano.

Ukipiga hesabu ya miaka yote mitano ni sh.trion 2.4 ambazo zingeenda kwenye ujenzi wa barabara kiwango cha lami zingejenga kilomita 12,000. karibia barabara zote nchi nzima zingekuwa za lami.TANZANIA ingekuwa kama africa kusini,alafu leo wote kwenye chama chenu mnatangaza kuwania urais hivi mmetuona watanzania wajinga kiasi hiki? pinda ataka urais, kigwangwala hamisi, lowasa, sita, mwakyembe, mwandosya, wasira, lameck madelu, sumaye, membe, makamba january, n.k lakini kati yao wote hakuna aliyekuja kututhibitishia mmiliki wa makampuni ya kagoda, meremeta, dowans,richmond, ESCOW n.k, makampuni yote haya yameliingiza taifa hasara la mabilion nje ya mishahara ya watumishi hewa na hawa wanaotaka urais 2015 walikuwepo na wapo kwenye mfumo wa uongozi wa serikali tangu hasara hizi zianze kulikumba taifa na wengine wanahusika na ufisadi wa makampuni hayo.

ccm wasilete siasa za mazoea [POLITICS OF EXPERIENCE] taifa lililopoteza mwelekeo viongozi wake wamekosa hofu ya MUNGU kila kukicha wanapishana kwa waganga wa jadi na ndo maana kafala haziishi na hakuna kingine wanachowaza zaidi ya urais 2015 hali kama hii haitavumilika kamwe na sasa ni kupiga magoti mbele ya mwenyezi MUNGU 2015 atusaidie tupate viongozi wanaomtii yeye muumba mbingu na nchi pamoja na wananchi wetu wote wa Tz.


=======================================================


Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top