Featured

    Featured Posts

Loading...

MGOMO MPYA WA WAENDESHA DALADALA MKOANI KIGOMA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Daladala mkoani kigoma asubuhi ya leo wamegoma kuingia barabarani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kupandishiwa kodi ya mwaka kutoka laki tatu na nusu (350,000) mpaka laki saba (700,000) kwa mwaka.  


Asubuhi ya leo katika vituo vya daladala wananchi wa maeneo mbalimbali mkoani hapa wameonekana wapo wanatembea barabarani huku bajaji na pikipiki ndio zikiwa zinafanya kazi pekee.Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top