Featured

    Featured Posts

Loading...

HABARI NJEMA KWA WATANZANIA WOTE KUTOKA TANESCO LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
 HII NI HABARI NJEMA KUTOKA TANESCO KWA AJIRI YA  WATANZANIA WOTE 

Gharama za kuunganisha umeme wa majumbani zitatolewa bure kuanzia mwezi Machi hapo mwakani baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es salaam kwa asilimia tisini.

Aidha gharama za matumizi ya umeme wa manyumbani pamoja na viwandani zitapungua kwa kiasi kikubwa baada ya mtambo huo kuanza kufanya kazi rasmi. Msemaji mkuu wa wizara ya Nishati na Madini, alisema hayo siku ya jana alipotembelea  mtambo huo wa Kinyerezi akiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Mh.Ramadhani Madabida, kamati ya Ulinzi na usalama ya mkoa na waandishi wa habari.

Alisema kuwa gharama za watumiaji wa umeme hapa nchini Tanzania ziko chini kwa silimia tano ukilinganisha na nchi za Uganda (asilimia 24) na Burundi ambao wao ni (asilimia 20). Mtambo wa kusafirishia umeme wa gesi ambao ukubwa wake ni kama ule wa Ubungo umekamilika kwa asilimia tisini mpaka sasa.

Kiongozi huyo aliendelea kwa kusema yakwamba serikali imeajiri wafanyakazi wakitanzania kwa silimia 95, na ifikapo Januari vijana 60, watapelekwa nchini China kwa masomo ili wapate ujuzi wakuendesha mitambo hiyo kwa uwezo wao wenyewe.

Mhandisi anayesimamia mradi huo, Mh. Saimoni Gilma, alisema mradi huo umetumia Dola za Marekani milioni 103, ambazo zote zimelipwa na serikali ya Tanzania. Aliendelea kwa kusema ujenzi wa miundombinu ya mitambo hiyo umekamilika tayari kinachosubiriwa ni kuletwa kwa mitambo yenyewe kutoka bandarini.

Aidha nyumba za wafanyakazi, watakaoendesha mitambo hiyo tayari zimekamilika kwa ajili ya kuanza kazi. Pia alifafanua kuwa mabomba ya gesi yaliyotandazwa aridhini kutoka Mtwara hadi Dar es salaal ni transfoma 200. Nayatawekewa ulinzi ulinzi mkali ikiwa pamoja na ulinzi wa helikopta itakayokuwa inazunguka usiku na mchana.

Akamaliza kwa kusema, gharama za kuweka umeme majumbani zitagharamiwa na nchi ya Japani na Finland, wananchi watatakiwa kutoa sehemu ya viwanja vyao au mashamba ili kupisha bomba hilo kupita. Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top