Tabia hii mpaka sasa imeanza kuonekana kama niyakwaida hapa nchini kwetu Tanzania, ambapo kila kukicha tunakutana na uozo wa akina dada pamoja na akina mama zetu, je ivi mnafikili kufanya vile mnavyofanya ni sahihi kwa mujibu wa mila na desturi za waAfrica? je mnaifunza nini jamii inayo wazunguka?
Kama style yenu ndio hii, basi kwa upande wangu naomba kuwaambia kitu kimoja kwamba, msijidanganye kupigana mkitaka haki sawa baina yenu pamoja na sisi.
Ushauri wangu kwenu akina dada pamoja na akina mama, nawaomba muache tabia hii ya kujidhalilisha maana mmekuwa chanzo cha uchafuzi wa matumizi ya mitandao ya kijamii, mpaka sehemu zingine ambazo ziko nje ya mitandao hiyo.
Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi.
FACEBOOK >>> TWITTER >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI