Featured

    Featured Posts

Loading...

IVI NDIVYO AJALI ILIVYOTOKEA KATIKA ENEO LA GAIRO JANA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Basi la Abiria la Air Bus linalofanya Safari zake kati ya Jiji la Dar es Salaam  na mkoani Tabora limepata ajali mbaya sana mchana wa leo Septemba 08,2014 katika eneo la  Kiegeya,Gairo na kupelekea zaidi ya watu wanne kupoteza maisha huku wengine wakiwa wamejeruhiwa vibaya.Ni majonzi makubwa yametawala katika eneo hilo huku juhudi za kuokoa miili na majeruhi zikiendelea kama inavyoonekana pichani.


Watu waliofariki dunia wakiwa wametapakaa kwenye eneo la tukio.Pia wasikilize majeruhi wakielezea jinsi ajali ilivyotokea kwenye link hapa chini

Ni siku nne tu zimepita toka ajali nyingine mbaya itokee huko Musoma na kupoteza maisha ya zaidi ya Watanzania 35.

=======================================================

Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo.

 FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO >>  MUSIC MPYA

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top