Jengo la bodi ya mikopo ya elimu ya juu hapa nchini Tanzania ( HESBLB) linateketea kwa moto hivi sasa, kwa taalifa tulizo zipata nikwamba kikosi cha zima moto kipokazini kikishughulika na zoezi la kuweza kuzima moto huo, ambao unazidi kusambaa kwa kasi ndani ya jengo hilo.
Pia inaelezwa kwamba nyaraka nyingi zikiwemo fedha za wanafunzi za FPT ambazo ziko kwenye mfumo wa hundi nazo zimeteketea kwa moto huo, ambao chanzo cha tukio hilo bado mpaka sasa hakijaweza kufahamika.
Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi.
FACEBOOK >>> TWITTER >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI