Featured

    Featured Posts

Loading...

BASI LA SKYLINE LIMEANGUKA MLIMA WA NYOKA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
BASI LA SKYLINE LIMEANGUKA MLIMA WA NYOKA 

Basi aina ya Skyline ambalo lilikuwa likifanya safari zake za kusafirisha abilia kutoka Mkoa wa Mbeya na Dodoma limepinduka kataika eneo la mlima unaojulikana kwa jina la Nyoka leo majira ya saa moja kasorobo asubuhi. Taarifa zinasema kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha kwenye ajari hiyo, ila kwa baadhi ya abilia wachache ndio wamepata majeraha kidogo kwenye sehemu mbalimbali za miili yao.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top