Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ANGALIA UZINDUZI WA AIRTEL RISING MKOANI MOROGORO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera, atilia mkazo soka la vijana na kuwataka viongozi wa mpira wa miguu mkoa wa Morogoro na chama cha mpira wa miguu Tanzania kutilia mkazo program za vijana.


Kocha wa zamani wa timu ya Taifa – Taifa Stars atoa changamoto wakati akifungua mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mkoa wa Morogoro siku ya jumanne. Alisema kuwa hakuna njia ya mkato katika maendeleo ya mpira wa miguu zaidi ya kuwekeza katika shule za soka na programu za vijana kama Airtel Rising Stars. Awapongeza  Airtel kwa mchango wao.

Zaidi ya majuma mawili kumekua na maoni ya kutoka kwa wakuu wa mikoa na wadau wengine wakisisitiza viongozi wa mpira wa miguu nchini kutilia mkazo programu za vijana kuiwezesha Tanzania kufanya vizuri.

Wakifungua mashindano ya Airtel Rising Stars katika mikoa yao hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam Said Meck Sadiki na Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro nao walitilia mkazo kuwekeza katika mpira wa vijana. Wengine waliotoa maoni hayo ni meya wa Mwanza Stanslaus Mabula na Mbunge wa Ukonga Eugen Mwaiposa.

Mashindano ya Airtel Rising Stars yanaitimishwa leo (August 7) na timu zinatarajiwa kuwasili jijini Dar-es-Salaam siku ya jumamosi August 9 katika fainali za taifa ambazo zinaanza kutimua vumbi jumapili katika kiwanja cha kumbukumbu ya Karume. Fainali za Taifa zitamalizika tarehe 17 August na wachezaji wakiume na wa kike watakao chaguliwa wataweka kambi jijini Dar-es-Salaam wakijiandaa na mashindano ya kimataifa Airtel Rising Stars yatakayofanyika nchini Gabon.

Mwaka jana mashindano hayo yalifanyika nchini Nigeria na timu ya wasichana ya Tanzania walinyakua ubingwa na kuzawadiwa dollar za marekani 10,000. 

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 
          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top