Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MBUNGE WA VITI MAALUM ATOA MSAADA WA MASHINE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kukabidhi  mashine ya kufulia nguo za wagonjwa katika Hospitali ya  Kisarawe mkoani Pwani, iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum, Zainabu Matitu Vullu
 Mbunge wa Viti maalu mkoani wa Pwania Zainab Matitu Vullu akizungumza wakati wa kukabidhi mashine ya kufulia nguo za wagonjwa, mashuka na mipira ya Baiskeli kwa hospitali hiyo

Mbunge wa Viti maalu mkoani wa Pwania Zainab Matitu Vullu  akizungumza wakati wa kukabidhi mashine ya kufulia nguo za wagonjwa, mashuka na mipira ya Baiskeli kwa hospitali hiyo
 Mkuu wa Wialya ya Kisarawe, Fatuma Kimario akimkabidhi karatasi yenye maelezo ya mashine ya kufuria nguo, Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Kissamo  Minja, baada ya Mbunge wa viti maalum, Zainab Vulu kukabidhi mashine hiyo kwa hospitali ya Kisarawe ambayo ilikuwa haina mashine hiyo kwa muda wa miaka 15. Kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dk.Happines Ndossi 
 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe,Dk. Happiness Ndossi akionyesha moja ya shuka zilizotolewa na Mbunge wa Viti  maalum Mkoa wa Pwani, Zainabui Matiti Vullu kwa ajili ya Hospitali ya Kisarawe pamoja na mashine mpya ya kufulia nguo za wagonjwa na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya kubebea wagonjwa
 Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Pwani, Zainabu Matitu Vullu katikati) akimkabidhi, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawwe, Fatuma Kimario (kushoto) Mashine ya kufulia nguo za wagonjwa,mashuka na mipira ya Baiskeli  kwa ajili ya Hospitali hiyo wakati wa hafla iliyofanyika juzi katika Hospitali hiyo. Kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo,Dk. Happiness Ndossi.

Mbunge wa viti maalum  Mkoa wa Pwani, Zainabu Matitu Vullu akizungumza na Mganga Mkuu wa  Wilaya  ya Kisarawe mkoani Pwani,Dk. Happiness Ndossi baada ya kukabidhi mashine ya kufuria nguo za wagonjwa, Mashuka,pamoja na mipira ya Baiskeli kwa ajili ya Hospitali hiyo vyote vikiwa na gharama ya Shilingi Milioni Sita na laki tano.

Jiunge na mi kwa kubonyeza kwenye link zifuatazo chini ili kupata habari mpya zaidi. 

          FACEBOOK >>> TWITTER  >>> MATUKIO KWA NJIA YA SAUTI
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top