Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WABUNGE WA UPINZANI WACHUKIA NA KUTOKA NJE YA BUNGE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Jioni hii katika bunge la Bajeti Mweshimiwa Mbowe ameongoza kambi ya Upinzani kutoka Bungeni kwa kila anachodai wabunge wa CCM wanajaribu kuficha uovu wa Wizara ya Nishati na Madini na Kujadili mazuri tu kuhusu umeme wakati kuna Uozo wa Kujadili ikiwemo Sakata kubwa la Ufisadi la APTL linalohusu Wizara hiyo.


Mbowe Amesema ni heri wao watoke na wawaachie CCM wapitishe bajeti hiyo wenyewe kwa vile wameshapanga kuipitisha na kupanga watu wakuongea kumsifia Waziri wa Wizara hiyo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top