Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

NCHINI MISRI ALI IMEKUWA TETE.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
wafuasi wa Jenerali Abdel Fatah Al sisi Kumekuwa na misururu ya ghasia nchini Misri ,siku moja tu kabla ya kuanza rasmi kwa kampeni za uchaguzi wa urais mwezi huu.


Mashambulizi mawili ya walipuaji wa kujitoa muhanga kusini mwa Sinai yamemuua mwanajeshi mmoja na kuwajeruhi watu saba siku ya ijumaa.

Afisa mmoja aliuawa katika shambulizi la bomu mjini Cairo,huku watu wawili wakiuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa bandari wa Alexandria wakati wafuasi wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Mohammed Morsi walipokuwa wakikabiliana na wakaazi .

Wanamgambo wameimarisha mashambulizi yao dhidi ya vikosi vya usalama licha ya kuwepo kwa msako dhidi ya waislamu wenye itikadi kali na wanajeshi wa serikali.

Waandishi wanasema kuwa aliyekuwa kiongozi wa jeshi Abdel Fattah Al sisi ambaye mwaka uliopita alimuondoa madarakani Mohammed Morsi anatarajiwa kushinda kwa wingi wa kura.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top