Diamond Platnum ameendelea kuthiilisha kuwa yeye ni mkali na nimsanii namba moja kwa sasa nchini Tanzania.
Jana usiku msanii Diamond aliweza kuondoka na Tunzo Saba ambazo alikuwa ametajwa katika vipengele tofauti tofauti
Diamond alikuwa ameambatana na Mchumba wake Wema Sepetu wengine walio chukua tunzo zaidi ya Moja ni msanii Fid Q, Weusi, mzee Yusufu na wengineo.
Ifuatayo ni orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo izo za Kili music awards.
Wimbo bora wa mwaka
Number One – Diamond
Mwimbaji bora wa kike – kizazi kipya
Lady Jaydee
Muimbaji Bora wa kiume – Kizazi Kipya
Diamond
Muimbaji bora wa kike taarabu
Isha Ramadhan
Muimbaji Bora wa kiume – Taarab
Mzee Yusuf
Muimbaji bora wa kiume – Bendi
Jose Mara
Muimbaji Bora wa Kike – bendi
Luiza Mbutu
Msanii Bora wa Hip Hop
Fid Q
Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia
Young Killer
Rapa Bora wa Mwaka – Bendi
Furguson
Mtumbuizaji bora wa kike muziki
Isha Ramadhani
Mtumbuizaji bora wa kiume wa muziki
Diamond
Mtunzi Bora wa Mwaka – Hip Hop
Fid Q
Video Bora ya Mwaka
Number One – Diamond
Bendi ya Mwaka
Mashujaa Band
Kikundi cha Mwaka cha Taarab
Jahazi Modern Taarabu
Kikundi cha mwaka cha kizazi kipya
Weusi
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka Taarabu ni producer Enrico.
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka Kizazi kipya ni producer Man Walter
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka kwa Bendi ni producer Amoroso
Mtunzi Bora wa Mwaka kwa Taarabu
Mzee Yusuf
Mtunzi Bora wa Mwaka wa Kizazi Kipya
Diamond
Mtunzi Bora wa Mwaka wa Bendi ni Christian Bella
Wimbo bora wa Kiswahili kwa Bendi
Ushamba Mzigo wa Mashujaa Band
Wimbo bora wa reggae
Niwe na Wewe wa Dabo
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Tubonge wa Jose Chameleon
Wimbo bora wa Afro Pop
Number One wa Diamond
Wimbo bora wa Taarabu
Wasiwasi Wako wa Mzee Yusufu
Wimbo bora wa Hip Hop
Nje ya Box wa Nick wa Pili ft Joh Makini & G-Nako
Wimbo Bora wa R&B
Closer wa Vanessa Mdee
Wimbo Bora wa Kushirikiana
Muziki Gani wa Nay wa Mitego ft Diamond
Wimbo bora wa ragga/dancehall
Nishai wa Chibwa ft Juru
Wimbo bora wa zouk /rhumba
Yahaya wa Lady Jaydee
Hall of FAME Award zimekwenda kwa Hassan Rehani Bichuka na Masoud Masoud.