Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MKUU WA MKOA DAR, AFANYA ZIARA YA GHAFLA MBAGALA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, ndugu Said Meck Sadick amefanya ziara ya ghafla katika soko la Mbagala mtaa wa kwa Mangaya leo hii.

katika ziala yake, amewaomba wafanya biashara wanao kaa katika maeneo jirani na soko hilo wajitokeze kwa wingi ili waweze kufanya soko hilo liendelee kukuwa na kuwasaidia wakazi wa maeneo hayo kwa ujumla wake.


Pia kiongozi huyo amewaomba wafanya biashara wote wanao fanyia kazi zao kandokando ya barabara, waache mara moja tabia hiyo na matokeo yake waamie kwenye soko hilo, ili waweze kunufaika na kuipenda zaidi kazi yao.

ila kwa upande wa wafanya biashara wa sokoni hapo pamoja na wanunuzi wa bidhaa mbalimbali kwenye soko hilo la mbagala kwa mangaya akiwemo mwana dada Mariam Chite wamesema kwa mba, tangu kufunguliwa kwa soko hilo, hakuna watu wakutosha wenye uwezo wa kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya soko hilo, jambo ambalo linafanya kudorola kwa bidhaa na mpaka kupelekea watu kuamia sehemu nyingine zenye watu wengi.


Kwaiyo wanaiomba serikali iweze kuwasaidia kulitangaza soko hilo kwanza kisha na wanao watajitangaza kwa jinsi watakavyoweza, ili mwisho wasiku waweze kufanya biashara zao vizuri na zenye kuwa na faida zaidi.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top