Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KUMBE STAREHE INAWEZA KUWA DAWA.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Msanii maarufu hapa nchini Tanzania Wema Sepetu amejikuta jana usiku akipona ghafla baada ya marafiki zake kumshawishi waende kula bata a.k.a matanuzi. Marafiki zake hao wakiongozwa na msanii kinara maarufu anayejulikana kwa jina la Aunt Ezekiel, walimfanya mwenzao Wema ambaye iliripotiwa hapo juzi alikuwa anaumwa kujiunga nao na kwenda kula bata. Msanii huyu Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Wema ameonyesha kufurahia sana tukio hilo na kusikitika kuwa hakunywa pombe.


Nilivyokutana na matahira wangu wakanitoa. Dah mgonjwa mimi hata pombe sinywi sasa... Asante sana
Kwa upade wake  Aunt Ezekiel aliandika.

My kababy and I... Funny faces... Mgonjwa wangu huyu... Ghafla alipona bila kupenda... love you Wema akee mimi apa saaaana saaana saaaana

 Wote wawili walipost picha hii wakati wakila bata, a.k.a matanuzi.


Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top