Ama kweli dunia imekwisha kabisa. Ebu ndugu mtazamaji wangu naomba uchukue mda wako japo kidogo kuangalia jinsi mwana dada huyu alivyo fanyiwa ukatiri wa kinyama kabisa tena huu tunaweza kusema ni moja ya udhalilishaji mkubwa wa haki za binadamu hapa duniani.
Tafadhari sana, picha hii kiukweli inatisha sana kiasi kwamba kwa mtu yeyote yule atakaye itazama kwanza kabisa nilazima mwili wake uka sisimke kwanza.
Ndugu yangu picha hii nimekutana nayo katika pitapita zangu kwenye mitandao, kiukweli chanzo cha tatizo hili hata mimi sikijui kiukweli, ila nimeona japo niwaoneshe ata nyie japo mukaone jinsi mwana dada huyu alivyofanyiwa.
Kiukweli kitendo hiki mimi binafsi sijakifraia kabisa, maana katika haki za binadamu hakuna sheria inayo mruhusu mtu wa aina yeyote ile kumfanyia binadamu mwenzake kitendo kama alichofanyiwa dada huyu.
1 maoni:
sasa kama kisa hukijui, uta-conclude vp kafanyawa vibaya. What if kama source si hivyo unavyozani na unavyotaka wanaosoma wazani?
Reply