Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia akiwa na viongozi wapya wa Jumuiya ya Watanzania Ethiopia (UDUGU).
Wa pili kushoto ni Dr. Naftali Kilenga ambaye amechaguliwa kuwa Mwenyekiti, na wa kwanza kulia ni Dr. Florence Temu, ambaye amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti.
Wa kwanza kushoto ni Bw. E. Lubuva ambaye amechaguliwa tena kuendelea kuwa Katibu wa UDUGU. Mhe. Balozi Naimi Aziz akiwa na Mwenyekiti Mpya Dr. Naftali Kilenga kushoto, na kulia kwake ni Bibi Josephine Marialle Ulimwengu, ambaye alikuwa Kaimu na Makumu Mwenyekiti katika uongozi uliopita.

