Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

TANGAZO KWA BLOGGERS WOTE TANZANIA.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kwanza kabisa Nnaanza kwa kuwasalimu wote mabibi na mabwana.

Asalaam Aleykum,....Tumsifu Yesu Kristo,
Bwana Yesu Asifiwe.


Poleni kwa majukumu yetu ya kila siku ya kutafuta riziki,na ujenzi wa taifa letu.Kwa sasa kuna wamiliki wa mitandao ya kijamii (Blogs) isiyopungua 50,000+ hapa kwetu nchini Tanzania.

Hivyo mojawapo ya sifa ya uandishi hasa kwa wana habari ni ubunifu. Ninaamini kwamba hapo ulipo sipo ulipohitaji kuwepo miaka mitano iliyopita au miaka mitano ijayo kwani yawezekana wewe au mimi tunaweza kufanikiwa zaidi.

Swali:Je,Ni mara ngapi tunapata kipato kutokana na Blog Zetu Hizi? Kwa kulifikiria hilo tumeona ni vyema kutumia mitandao yetu ya kijamii kujiingizia kipato, kwani tunatumia mitandao hii kupashana habari kama jukumu kuu, lakini pia ni vyema tujitahidi iwe kama ajira rasmi ya kujiajiri kwani katika nchi zilizoendelea kila kitu kinatumika kuingiza fedha za kuendesha maisha yako ya kila siku.

Tafadhali kama una malengo ya mafanikio zaidi ya haya uliyo nayo kwa kutumia blogu yako, usikose kikao kifupi tarehe 12/4/2014 kuanzia saa nane kamili mchana katika hoteli ya Holiday Inn mtaa wa azikiwe jijini Dar es salaam kwani tutapeana fursa ambayo itakuwa mojawapo ya njia ya kingiza kipato kwa kutumia mtandao wako wa kijamii  (Blog) unaomiliki.

Imetolewa na Mr.Khushe.M Hauli (Mwezeshaji) SIMU: 0784-488 488
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top