Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

TAADHALI KWA WALEVI WOTE NCHINI.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mbeya. Wananchi mkoani Mbeya wametakiwa kuacha kuzitumia sikukuu za kidini kwa ulevi, badala yake wajikite kuimarisha upendo na amani.

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Ahmed Msangi alisema hayo alipozungumzia kuimarishwa kwa ulinzi katika kipindi chote cha maadhimisho ya Pasaka yanayofanyika katika makanisa mbalimbali.

Msangi alisema kwa kawaida Mkoa wa Mbeya una waumini wengi wa dini, lakini wapo watu wanaoharibu imani za wenzao kwa kuandaa pombe na kufanya vurugu wakati wa sikukuu.

“Polisi inawatakiwa kila heri na baraka wakati wote wa Sikukuu ya Pasaka, lakini lazima tuoe angalizo kuwa wale watakaoshindwa kujiheshimu kwa sababu ya ulevi watashughulikiwa,” alisema.

Kamanda huyo pia aliwataka wazazi na walezi wa watoto kuwa makini na watoto wao watakapokwenda sehemu mbalimbali kufurahia sikukuu. “Tutapita katika kumbi za starehe kufanya ukaguzi, lengo letu ni kuhakikisha usalama unakuwepo na watu wanapata nafasi ya kufurahia sikukuu.”
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top