Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
NMB YATOA MADAWATI MJINI ZANZIBAR.
Bw. Jaha Khamis Saidi, Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kitope akimshukuru Kaimu Meneja wa tawi la NMB Zanzibar, Bakar Mohamed baada ya kupokea madawati kutoka benki ya NMB.
Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa shule ya msingi Kitope ili kupunguza uhaba wa madawati unaoikumba shule hiyo.
Wanafunzi wa shule ya msingi Kitope mjini Zanzibar wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya kupunguza uhaba wa madawati unaoikabili shule ya msingi Kitope . Jumla ya madawati (50) hamsini yamekabidhiwa hivi karibuni katika shule hiyo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.