Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Mpenzi wako ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kifamilia?

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kama unahitaji kuwa na ndoa nzuri, ni vizuri ukaanzisha urafiki wa kawaida kwanza na mtu unayefikiria kuoana naye.Tembelea nyumbani kwao kama rafiki wa kawaida, ona namna wazazi wake wanavyoishi.

Kitaalamu, maisha ya wengi yanatengenezwa na wazazi.Ni kwamba ubongo wa mtoto unakuwa hauwezi kubadilika sana kutoka kwenye hali ya maisha aliyokuwa nayo akiwa na umri kati ya mwaka mmoja hadi minane.

Kwa mfano; kama mtoto alishuhudia mzazi wake akiteswa na mzazi mwingine akiwa na umri huo, ni vigumu kudumu kwenye uhusiano. Atakachokuwa nacho kwenye akili yake akiwa na mwenza ni kwamba;

tunaweza kuachana kwa sababu hata mzazi wangu aliweza kuachana na mwenzi na maisha yakaenda; au anaweza akawa na fikra kwamba wanaume au wanawake ni watu wabaya tu kwa sababu alishuhudia mateso katika ndoa ya wazazi wake.

UFAFANUZI ZAIDI, Swali la kujiuliza ni je, kuna athari zozote kuoa au kuolewa na mtoto wa mwisho, wa kati au wa kwanza? Jibu NDIYO. Kama nilivyosema, kuna tofauti, faida au hasara ya kuoana na mtu wa aina fulani.

Kwa wanawake, watoto wa kwanza wengi huwa hawapati bahati sana ya kuolewa, ingawa huwa na shauku na kuhitaji kuwa na ndoa nzuri. Walio wengi huishia kwenye ndoa zisizo nzuri sana. Hata hivyo wakati mwingine, hali inaweza kuwa tofauti kutokana na sababu nyingi, zikiwamo malezi katika familia anatoka au namna mtu husika anavyoshiriki au kutoshiriki vvyema katika imani ya dini.

Walio na imani thabiti ya Mungu, haijalishi anatokea katika hali gani, anaweza kuwa na hali nzuri, tofauti na ambaye nyumba za ibada kwake ni kama kitanda cha mjomba, kwamba hana habari wala hawezi kuingia. Watoto wa kwanza mara nyingi wanapenda ‘kutumia nguvu kuendesha mwenzi wake,
sababu hapa ni taswira ya kujifanya mtu mwenye nguvu aliyonayo mtoto huyu kutoka kwenye familia yake, kwamba yeye ni kaka au dada katika watoto wote na ndiyo mkubwa.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top