Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MABADILIKO YA HALI YA HEWA NCHINI.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Ni lazima wanadamu waitendee haki dunia kwa kuwa hakuna dunia nyingine na njia pekee ni kuhakikisha ukomeshwaji wa ongezeko la gesi joto.

Huu ni wito wa wake mwenyekiti wa kamati ya dunia ya kisayansi na taaluma ya makataba kuhusu makubaliano ya hali ya hewa Richard Muyungi akizungumza katika siku ya kimataifa ya sayari dunia.

Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa idhaa hii Muyungi aliyebobea katika masuala ya mabadiliko ya tabia nchi anasema ujenzi wa miji na vijiji usioongeza joto ni muhimu. Anaanza kueleza wito wake katika kuadhimisha siku hii.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top