Karibu sana kwenye ukurasa wa matangazo, hapa ndipo maali pamatangazo ya aina zote. kwaiyo ata wewe unakaribishwa sana ili kutangaza nasi, karibu sana.
kwa mwitaji tafadhali tupigie simu namba:
0659 919 292
==================================================
TANGAZO LETU KWA SIKU YA LEO LINATOKA:
Home Pub Lodges, ni bonge la lodges ambayo inapatikana katika eneo linalo fahamika kama VIKINDU MADAFU, Ni umbali wa mita 75 (75M) kutoka usawa wa barabara kuu ambayo inaelekea Mkuranga, Kimanzi chana, Lindi nk.
Home Pub Lodges ni self contained rooms, na pia ipo kwenye eneo tulivu kabisa na lenye mazingira mazuri ya kisasa zaidi.


Ndugu mteja, Home pub lodges hakuna kabisa tabu ya swala la maji. kwetu maji yapo tena ya kutosha kwa mda wote ndani ya masaa 24.
kwa ujumla mazingira ni masafi na pia yanavutia sana ndugu mteja. ebu karibu ututembelee Home Pub Lodges, ujionee mwenyewe jinsi kulivyo kuzuri.
Ndugu mteja, pindi uwapo ndani ya home pub lodge, utapokelewa na upepo mzuuri, ambao utakufanya ujisikie kama uko ufukweni mwa bahari.

Ndugu mteja wetu, HOME PUB LODGES. ina wakalibisha sana wafanyakazi wa mikataba, watu wanaofanya makongamano na wale wanao subilia mizigo yao kutoka bandarini.
Pia tunatoa huduma za vinywaji vya aina zote, pamoja na huduma ya chakula kwa order maalum tu.
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo:
WOTE MNAKARIBISHWA SANA.