Featured

    Featured Posts

Loading...

Record mbovu za timu ya Man U, chini ya Moyes.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Manchester United jana iliendeleza uteja wake kwa wapinzani wao Manchester City baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Old Trafford, jana usiku.


Matokeo ya mchezo huo yalitengeneza rekodi nyingine mbovu za Manchester United chini ya kocha David Moyes na zipo kama ifuatavyo
Kipigo cha jana usiku kinaamanisha United sasa imepoteza mechi ugenini na nyumbani dhidi ya Liverpool na Manchester City ndani ya msimu mmoja haijawahi kutokea hii huko nyuma.

Man United mpaka sasa imefungwa mechi 10 katika premier league, idadi kubwa zaidi katika historia yao.

Pia kati ya mechi hizo 10 sita wamefungwa Old Trafford, haijawahi kutokea katika miaka 12 iliyopita United kufungwa mechi sita za ligi kuu kwenye uwanja wake wa nyumbani.

Mpaka sasa United imecheza 13 dhidi ya timu 9 za juu katika msimamo wa ligi  na kati ya hizo imeshinda mechi 1 tu dhidi ya Arsenal.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top