Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

Ndege watakayo ondoka nayo mashabiki wa Man U, kumpinga Moyes.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Leo katika Shaffihdauda.com ambayo ni website inayotoa stori za michezo ya ndani na  nje ya bongo ambapo imetoa hii ripoti na picha kuhusu mashabiki wa Manchester United wanaochukizwa na mwenendo wa timu yao chini ya uongozi wa David Moyes wamefanikiwa kupata ndege itakayopita juu ya paa la uwanja wa Old Trafford jumamosi ya leo huku ndege hiyo ikiwa imebeba bango la ‘Moyes Out’.

Ndege hiyo imepangwa kupita juu ya paa la OT kwa dakika 10 kabla ya mchezo kuanza na baadae kwa dakika 5 na wakati wa mchezo vs Aston Villa.
Kundi la mashabiki hao tayari limethibitisha kwamba leo ndege hiyo yenye bango la  “Wrong One: Moyes Out.” itafanya kama walivyopanga.

Bango hilo ni kinyume ya lile walilotaka kulishusha kutoka kwenye jukwaa la Stretford End linalosomeka  ‘Chosen One’.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top