Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MBEGU MPYA ZA KILIMO CHA MAHINDI.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
karibu sana ndugu mpendwa msomaji wa habari zangu, leo nimekuletea report moja nzuri sana, ambayo si yakukosa. nazungumzia juu ya uzalishaji wa mbegu bora za kilimo ambazo ni mpya.
Mbegu izi ni nyingi mno, lakini kwa siku ya leo nita anza na mbegu moja kwanza. mbegu yetu ya leo inaenda kwa jina la MBEGU CHOTARA  YA UKANDA WA CHINI. 

Mbegu hii ni mpya kabisa ambayo itakuwa mkombozi wa wakulima ambao ni wakazi wa ukanda wa chini. ukanda wa chini ni eneo la wakazi wa dar es salaam na pwani nzima kwa ujumla wake.

Kwaiyo kama kuna watu wenye maeneo yao na wangependa sana kulima, basi tunawashauri watumie mbegu hii kwa ajiri ya kupata matokeo yaliyo bora.

Mbali na utambulishaji wa mbegu hii mpya aina ya chotara ya ukanda wa chini, kuna mbegu zingine ambazo ni mpya zenye uwezo wa kutumika kwenye maeneo tofauti tofauti hapa nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa matokeo mazuri kwa wakulima wetu.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top