Mnaweza msiamini lakini ndivyo watendaji wetu walivyo. Waziri yawezekana kafanya kazi kisiasa na watendaji wakaacha haya yatokee.
Uamuzi wa Simbachawene unawaathiri si wawekezaji tu bali hadi wananchi wengi waliokuwa wakitumia huduma za SELCOM.
Mawasiliano yaliyonaswa toka kwa mwekezaji kwenda kwa Waziri yanabainisha wao hawakuwa na taarifa ya kinachoendelea hadi walipoiona thread JF.
Hiini ni email iliyotumwa kwa Waziri Simbachawene: Bofya hapa sasa.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.