Wakati mzuri wa kuchagua mke wa kuoa kwa wakazi wa dar es salaam, ni huu sasa. Unatakiwa kutenga mda mzuri kabisa wa kukaa vituoni na uchague msichana ambaye anaweza kupanda daladala kwa kupitia dirishani.
Faida za kumchagua msichana wanamna hii, anafaa sana wakati likitokea janga la moto nyumbani kwako wakati ameisha kuwa mke wako anaweza kuokoa vitu vingi sana ndani ya nyumba kwa kupitia kwenye madirisha ya nyumba yenu.
Kwa habari za Matukio Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani, Ungana nami kupitia Link zifuatazo hapo chini.
In order you follow me just click one of the Icon Button above.