Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MKOJO WA PANYA WATAJWA KUTENGENEZA DAWA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Nchi nyingi duniani zimekuwa zikikabiliana na matumizi ya bidhaa feki ikiwemo vyakula na vipodozi ambavyo kwa kiasi kikubwa huathiri afya za watumiaji.

Huko Uingereza imeelezwa kuwa kinyesi cha panya na mkojo ni baadhi ya viungo vinavyotumika kutengeneza bidhaa feki za urembo kwa wanawake.

Utafiti wa bidhaa za urembo zinazouzwa kwa njia ya mtandao nchini Uingereza umebaini kuwa bidhaa hizo zina tengezwa kwa njia isiyofata maadili na kulinda afya za binadamu ikiwemo marashi na mafuta ya kujipaka.

Kwa mujibu wa Polisi waliofanya uchunguzi huo,  wamedai mfumuko wa bei ya bidhaa kwa njia za kielektroniki umechangia ongezeko la mauzo ya bidhaa hizo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top