Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

UTAPELI WAJITOKEZA TENA KATIKA NMB BANK SINZA.

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mataperi watatu waliokamatwa jana kwenye eneo la NMB bank hapa Bigbon Sinza, jiadhalini ndugu zangu maana hali imebadirika sana kwenye jiji letu hili la dar es salaam Tanzania.

Inshu nzima ilikuwa hivi jamaa wamejifanya ni wakulima wameokota dhahabu huko geita kwa hiyo hawajui chochote kuhusiana na bei ya dhahabu hizo ndio jamaa mmoja kwa tamaa zake akataka kuzinunua ndipo akaenda NMB sinza kuchukua pesa ili awalipe.
Alipo fika bank ndipo jamaa huyo akawalengesha kwa police kisha wakakamatwa, maana toka mwanzo mbali ya kuongeanao kiustaarabu lakini alikuwa tayari ameisha washtukia kwamba sio raia wema.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top