Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

STORY JUU YA MGOMO WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU DAR

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Juzi kulikuwa na stori kwenye vyombo vya habari kuhusu wanafunzi wa Chuo cha Saint John Dar kugoma wakidai kutopewa pesa zao za kujikimu kutoka Bodi ya Mikopo.

Jana stori imerudi tena kwenye headlines.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es salaam nao walifanya mgomo  kwa kutokuingia darasani, madai yao ni kupatiwa pesa za kujikimu ambazo hutolewa na Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa Vyuoni.

Migomo mingi huwa inakuwa na vurugu, lakini huu waliufanya kwa utulivu huku wakisuubiri uongozi wa chuo kutolea majibu malalamiko yao.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top